Hotuba ya Arafa kutoka msikiti wa Namirah ulioko Arafa, 9 Dhul Hijjah 1444h, anaitoa Mheshimiwa shehe Yusuf ibn Muhammad ibn Abdul-Aziiz ibn Said

  • Doctor :

Siku ya Arafa wanapokusanyika mahujaji kwa maombi na kujikurubisha kwa Allah, juu ya tofauti za maarifa yao na wengi wa lugha zao, wanasikiliza hotuba moja, hotuba ya siku ya Arafa. Kwa biidi ya Mamlaka ya Kiarabu ya Saudia ya kufikisha hotuba hii kwa Waisilamu katika ulimwengu wote, na ikiwa ndani ya mradi wa Mtumishi wa Haramaini wa tafsiri ya haraka ya hotuba za Haramaini tukufu na hotuba ya siku ya Arafa; Uongozi mkuu wa masuala ya Al-Masjid Al-Haraam na Al-Masjid An-Nabawi unafurha kuwaletea upeperushaji wa moja kwa moja wa hotuba ya siku ya Arafa iliotafsiriwa katika lugha ishirini.

Watching the sermons on the Day of Arafah for the previous years
Share stream